Utawala wa Urban Pulse unapenda kuwaletea exclussive behind the scenne kwa wadau wote wa libenekene kuhusu matayarisho na maandalizi ya Miss & Mr East Africa Uk 2010 yaliyofanyika katika kitongoji cha Edmonton, Ukerewe jumamosi 26.6.10
Fainali ya kuwania Taji la U Miss na U Mr East Africa UK litafanyika Jumamosi Julai 3, 2010 katika ukumbi wa Central Hall,Westminister, London












Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.
Hongereni waandaaji. Ingawa kwa sasa quality inaweza kuwa tatizo lakini msitie shaka mwanzo mgumu. Miaka ijayo hii event itakuwa bomba tu
Post a Comment