Sunday, June 27, 2010

je wewe umeisajili modem yako?

Mie nikiisajali Modem yangu ya Zantel leo,wewe je.! umekwishasajili Modem yako? kama bado ni vyema ukawahi mapema,kwa sababu siku ndiyo zinayoyoma hivyo.

Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

hi bro. Naomba nikuulize kidogo, Hivi ukinunua hiyo modem ya Zantel unaweza kutumia Tanzania nzima kwa mfano unaweza kupata mtandao hata kigoma au Sumbawanga?
Mdau wa Lewisham, London