Mdau wa Club E akivalishwa saa nzuri ya club e baada ya kuibuka mshindi
Bidada kajishindia t-shirt
kajinyakulia wallet
mdau kaibuka na Tai

Mdau akifurahia mara baada ya kujishindia wallet kutoka Club E
Mdau akivalishwa t-shirt ya Club E mara baada ya kuibuka mshindi
Mtangazaji wa Clouds Fm kupitia kipindi cha Jahazi ,Kapt Gadna G Habash ambaye pia ndiye aliyeongoza shughuli nzima ya hafla hiyo akitangaza shindano la kujipatia zawadi mbalimbali kwa wadau/wanachama mbalimbali wa Club E,kwa atakayeibuka mshindi mara baada ya kujibu swali lolote linalohusiana na chapa ya Embassy.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment