Sunday, May 30, 2010

siginda wanyakua kombe la kili taifa cup

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Mh. William Lukuvi akikabidhi kombe la ubingwa wa Kili Taifa Cup kwa Kapten wa timu ya Singida,Rajab Mohamed huku mfungaji wa magoli mawili kati ya matatu yaliyoizima timu ya Lindi katika mchezo wa leo,Kelvin Charles akishuhudia.wengine ni Rais wa TFF,Reodger Tenga (kulia) na Mkurugenzi wa masoko wa TBL,David Minja. Singinda imeshinda goli 3-0

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.