Thursday, May 13, 2010

Rais Karume,akutana na Mabalozi Norway,Misri na Afisa wa UNICEF

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana na Balozi wa Norway Nchini Bibi Jorunn Maehlum aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar jana kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF ayeishi Zanzibar,Francoes Rumesi,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar,kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi na Kumtambulisha Bi Ruth Leano (kushoto) ambaye anachukua nafasi ya Rumesi hapa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana na Balozi Mdogo wa Misri Bahar Nabil Helmy aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar,kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akizungumza na Balozi wa Norway Nchini Bibi Jorunn Maehlum aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,akizungumza na Bi Ruth Leano (kushoto) Mwakilishi mpya wa UNICEF Zanzibar wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Kujitambulisha na katikati ni Francoes Rumesi aliyemaliza muda wake wa kazi.Picha na Ramadhan Othman Ikulu,Zanzibar

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.