Sunday, May 30, 2010

miaka 5 ya coconut fm yafana zanzibar

Mmoja wa watangazaji wa Coconut Fm 88.2 Zanzibar, akimlisha keki mmoja wa Wakurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd, ambao ni wamiliki wa kituo hicho kwa niaba ya Uongozi wa Kampuni pamoja na Clouds Media Group.
Baada ya hapo kilifuata nini vileeee...!
Mmoja wa Wakurugenzi wa Prime Time Promotions, ambao ndiyo wamiliki wa Redio Coconut Fm 88.2 Zanzibar Godfrey Kussaga akimlisha keki mmoja ya watangazaji nguli wa Redio Coconut Fm 88.2 Husna B.
Adam Mchovu toka Clouds Fm akilishwa keki
Mmoja wa watangazaji wa Coconut Fm 88.2 Zanzibar, Amida Mahalim akimlisha mmoja wa watangazaji Clouds Fm 88.4 B Dozen ambaye aliwakilisha katika sherehe hiyo.
Mmoja wa watangazaji wa Coconut Fm 88.2 Zanzibar, Amida Mahalim akimlisha mmoja wa watangazaji Clouds Fm 88.4 Arnold Kayanda ambaye aliwakilisha katika sherehe hiyo.
Mmoja wa Wakurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd, ambao ndiyo wamiliki wa Coconut Fm 88.2 Zanzibar, Godfrey Kussaga akikata keki kwa ajili maadhimisho ya miaka mitano 5 ya kuzaliwa kwa Redio Coconut Fm usiku wa kuamkia leo ndani ya Ngome Kongwe
Meneja wa Coconut FM ,Abedi Mfaume akitoa maelekezo ya awali kabla ya kukata keki.
Mmoja wa watangazaji wa Coconut Fm 88.2 Zanzibar, Husna B akiongea na umati mkubwa wa watu uliofika kwenye sherehe hiyo,kabla ya kukatwa keki

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.