But siku mingi kidogo maada imeanza kuongelewa hatimae na me leo nimeona niulize tu "Swali langu ni-Kweli nishawahi kusikia kuwa huko Arusha & Moshi-nchini Tanzania kuna ofisi yao iko hapo moshi mjini oppst na ilipokuwa kilimanjaro Hotel zamani? na kama hawa jamaa Internation NGO je? hizi NGO zinazoletwa na hawa wazungu huku kwetu Tanzania zinauhusiano na hawa jamaa Freemasonc? waungwana mkinisaidia majibu hapa itakuwa vema sana maana naona NGO ziko nyingi sana nikiangalia zingine kazi zao hazina mwelekeo wowote kabisa na kila siku wanatumia mapesa kibaoo vipi hapo.
NB:Mimi nilichoweza kumjibu,nilimwambia inawezekana wapo kwa sababu wana jumba lao (pichani) lilipo barabara ya Sokoine Drive jijini Dar,tena lipo jirani kabisa na Benki kuu.













Kuna Maoni 3 mpaka sasa.
WAPO NI NGO INAYOHUSIKA NA MASWALA YA PESA, INGAWA NI KUNA UVUMI WA MAMBO SI MAZURI HIZO NI HABARI YA UONGO TU NI SHIRIKA LINASHUGHULIKA SANA NA MAMBO YA PESA WAKUBWA WENGI HUKOPA HUKO NA HATA WAHINDI WATU HAWAAMBIZANI TU, WANAISHIA KULIPAKAZIA ILI WATU WAOGOPE KWENDA HUKO, CHANZO CHAKE NI UK, LINA HISTORIA KUBWA JINSI LILIVYOANZA
Kweli hapo hata me nimeguswa,eti iz dat tru kwamba hao freemasons ni dini ya kichawi,kishetani?na karibu marais kibao na watu wenye fedha ni wanachama?plz help me
Lazima uwe na njugu sio mkojo kunuka ndo uwe Manson.
Post a Comment