Friday, April 30, 2010
Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Tanzania,Bernad Mchomvu wakikabidhiana mikataba na mwakilishi wa Kampuni ya Viscus ya nchini Japan Bw.Tesuji Onno.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,na Balozi wa Marekani Nchini Alphonso E.Lenhardt,wakishuhudi utiaji saini mkataba wa kazi za ulazaji waya wa umeme,(marine Cable)kutoka Ras Kiromoni Dar es Salaam hadi Fumba,mkataba huo ulisainiwa na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Tanzania,Bernad Mchomvu na Tesuji Onno,mwakilishi wa Kampuni ya Viscus ya nchini Japan.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment