Napenda kuwakilisha kwa Heshima tele!!
Ukicheck kwa hapo ni dinner and Reggae Dance special kwa ajili ya mdau mahiri aliyetutoka
Itakumbukwa kua Mwanzoni mwa Mwaka huu kulizizima majonzi ya kupotelewa na mwenzetu aliyefariki kwa kifo ambacho chanzo chake bado kinautata.
Kwa kifupi jamaaa alikua mtu wa reggae damu and he was the best reggae dj ever....
Hiyo basi imepelekea the all reggae massive & crew in DAR kuaandaa special reggae dance dedicated to him
Kutakua na family gathering,Dinner and dance with the live performance from Jhiko man
Don Miss.Who feels it..knows it..













Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment