Mkuu wa wilaya ya Arusha (kati) Eng. Raymond Moshi akimkabidhi Bw. John Kassian funguo ya gari aina ya Range Rover Sport aliyojishindia katika promosheni ya Zain Jishindie gari iliyofanyika hivi karibuni. Makabidhiano hayo yalifanyika wiki iliyopita katika viwanja vya Triple A, mjini Arusha. Pembeni ni mke wa Bw. John Kassian akishuhudia makabidhiano hayo.
Msafara kutoka Usa River kuelekea Arusha mjini ulianza kama unavyoona mwenyewe.
Vijana kutoka Zain wakitoa burudani kwa wakazi wa Usa River kabla ya msafara wa kuelekea mjini Arusha kupeleka Range Rover Sport. Sherehe hizo za kumkabidhi mshindi zawadi yake zilifanyika wiki iliyopita katika viwanja vya Triple A, jijini Arusha.















Kuna Maoni 2 mpaka sasa.
Hongereni sana Zain
Kupewa je amepewa kweli????????? Nilivyosikia hawa watu wa makampuni ya simu wanadanganya huwa hawatoi zawadi ya ukweli hiyo ni bobish tu anapewa pesa kidogo kufumbwa macho.
By Uwiiiiiiiiiiiii
Post a Comment