Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza a Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume akisalimiana na Kiongozi wa Mfuko wa Saudi Arabia,(SOUD FUND),Ibrahim M.Alsugair pamoja na Viongozi Ujumbe Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Afrika,(BADEA)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment