Thursday, April 29, 2010

ni maeneo gani haya?

Picha hii imepigwa hapa jijini Dar,wilaya ya Kinondoni,lakini ni sehemu gani maarufu ?
Wadau hii picha imepigwa mjini Arusha hivi karibuni, unaweza kuniambia hii ni sehemu gani?

Kuna Maoni 7 mpaka sasa.

Hapa ni Morocco Block 41 nyuma ya Mjengo wa ZAIN!!

Hiyo ya Arusha imepigwa kutoka jengo la Impala Hotel... Na hiyo ni karibu na round about ya Impala, mbele hapo ni AICC club bar yetu ya nyumbani..

hiyo ya chini ni maeneo ya round-about ya impala hotel na hicho kiwanja ni AICC club

na mdau peter mapunda
A- town

Mpigaji picha yuko kwa juu Impala Hotel na hapo kulia unaelekea Njiro na kushoto unaelekea Kijenge Right??????

Uelekeo Wa Masai Camp! Daa but am not sure!

Para Uropa

Uelekeo Wa Masai Camp! Daa but am not sure!

Para Uropa

Mpiga Picha aliipiga akiwa hotel ya Impala,uwanja uonaonekana ni AICC club playgroud, kwa mbali aicc club inaonekana na milima ya Njiro pia. bila kusahau barabara ya kijenge. nadhan niko sawa wadau wa A TOWN