Thursday, April 29, 2010

mshindi wa promosheni ya dondoka sauz akabidhiwa tiketi yake

Bw. Khalid Baber Abri akiwa na ticket.
Meneja Masoko wa Hyundai Edna Alimwike akimkabidhi ticket mshindi wa droo ya kwanza ya Dondoka Sauz Bw. Khalid Baber Abri. Promotion ya Dondoka Sauz inaendeshwa na Hyundai na Zantel.
Meneja Mauzo wa Hyundai Anthony Nyeupe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kumkabidhi ticket mshindi wa droo ya kwanza wa promosheni ya Dondoka Sauz Bw. Khalid Baber Abri (kati). Kulia ni Meneja Masoko wa Zantel William Mpinga.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.