Kampuni ya Sophy Entertainment ya mjini Arusha imeandaa shindano la
Akizungumza na Jiachie leo kwa njia ya simu muandaaji wa shindani
Bi. Urio alisema kuwa kwa sasa warembo hao wapatao kumi wapo kambini wakijinoa vilivyo tayari kujiandaa kwa ajili ya mashindano hayo.
Amesema kuwa mataji yanayotarajiwa kushindaniwa na warembo hao yatakuwa ni Mane,ambayo ni kipaji, photogenic, balozi na Miss Arusha City Centre.
“Kiukweli najua mashindano ya mwaka huu yatakuwa na msisimko mkubwa kutokana na maandalizi yake kuwa ni mazuri, Walimu wanaowanoa walimbwende ni watu ambao wanajua wanachokifnya na wamebobea,kwa haili hiyo lazima kutakuwepo na utofauti mkubwa,” alisema Bi. Urio.
Kwa upande wake Rachel Michael ambaye ni mwalimu wa Catwalk alisema kuwa anashukuru
Nae Doreen Mecky ambaye pia ni mwalimu wa kucheza (dance) alisema kuwa warembo wamejifua vya kutosha na hana shaka katika kinyang’anyiro hicho.
Bi. Urio aliongeza kuwa katika shindano













Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment