Thursday, April 29, 2010

kaazi kweli kweli



Wadau kuna mwanajamvini kanitumia picha hizi japo na wanajamvini wengine wazione na wachangie, na anauliza hili ni tatizo limepamba moto ndani ya soka au ni kitu gani?

Kuna Maoni 8 mpaka sasa.

wabongo tuna tabia ya kuiga mambo ya ulaya, kama vile wachezaji kuvua mashati wakifunga magoli na kuruka sarakasi n.k , je wataiga hii , sasa ulaya wakifunga magoli unapewa ROMANCE , je mtaiweza hii ???? acheni kuiga

Wataiga tu madhali mtu mweupe anafanya hivyo.

kaka michuzi naona umeamua kuutangaza ushoga ili wabongo wenzako wauwelewe kama ni kitu cha kawaida

wote takana hao kama siyo senge takana

Mungu wangu ndugu zangu Wachezaji, wanamuziki, wafanyakazi pia na n.k

Hivi si vitendo vizuri jamani ushoga na usagaji please tusiige tunaipeleka jamii ambako sipo.

Mungu tufumbe macho tunaopenda kuiga vya watu maana hii ni aibu.

By Mariam

Sasa wewe unafundisha nini? au na wewe umehaza manake sioni kwanini uweke picha za kishoga

they are gay... that not even funny is stupid nasty for me.... to be happy is not more than that situation,,,,, ya know they are boys.... so plz