Mwenyekiti wa UWAMA Angela Msangi akimuandaa mgemi rasmi Mhariri Mkuu wa TBC 1 ASUMPTA MASOI

Mc WA SHEREHE YA UZINDUZI WA CHAMA CHA WANWAKE TBC UWAMA- RAHELI MHANDO akitoa maelekezo kwa mwenyekiti wa uwama ANGELA MSANGI akiwa sambamba na mgeni rasmi ASUMPTA MASOI Mharriri Mkuu wa TBC 1

Mgeni rasmi akiwa na mdau wa Jambo Tanzania MAGRETH CHAMBIRI

WANACHAMA WA CHAMA CHA KUSAIDIANA WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASMI MHARIRI MKUU ASUMPTA MASOI kwenye uzinduzi wa chama hicho

Hapo ni wadau wengine wa TBC 1 ESHE MWIDINI na ZUENA MSUYA

wadau wa tbc one ambao ni wanachama wa chama cha kusaidiana UWAMA kutoka kushoto ni AGNES MBAPU,ETI KUSILUKA na LOUISA MTOPWA

Wadau wengine Martina na Levina
Kuna Maoni 2 mpaka sasa.
wapi Zawadi Machibya jameni? aaah nimekumbuka kumbe keshaula, hivi ndio kimoja au yu aenda na kurudi, nampenda sana mdada huyo.
its good, kwa employees kuwa na umoja na ushirikiano, good for development and ideas regeneration, hey should keep it up
Post a Comment