du style hii inanikumbusha miaka ya themamini mkichagulia kusimamia harusi kama maflowers lazima mchezo show hiyo ni lazima mkae kambizi kwa reheasal ya mwizi mzima naona sasa imerudi tena but naona kwa wasichana wadogo ndiyo inapendeza si dizain hii,but walipendeza
Kuna Maoni 6 mpaka sasa.
Sasa naomba utuwekee wimbo wa alamba, alamba aam!
nimeipenda!msaada tutni,
mnaweza kuniambia wimbo unaitwaje?
na nani kapiga?
nitashukuru.
hii ilikuwa wapi?
mimi nimempenda huyo aliyevaa long dress cos she look so relaxed and making the whole thing look effortless.
pili nyau mbona sikuoni

Post a Comment