
Mkurugenzi Mkuu wa Singita Grumeti Reserves Bwana Graham Ledger,kulia, akikabidhi hundi ya shilingi milioni tano kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete kwa ajili ya kazi za taasisi ya WAMA. Makabidhiano hayo yalifanyika katika hoteli ya Grumeti iliyoko katika hifadhi ya Serengeti .

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasalimia mamia ya wananchi wa kijiji cha Nyamuswa, wilayani Bunda mkoani Mara, wakati akielekea mjini Bunda kukagua shughuli mbalimbali za akinamama wajasiriamali wilayani humo.
Kuna Maoni 4 mpaka sasa.
kwani naye rais
HAPANA YEYE NI MKE WA RAIS ILA NDIO HAPISHANI SANA MUMEWE
imezekana vipi akaenda huko na kupokea pesa wakati huyo mwekezaji ananyanyasa wananchi sana hii sio ndio rushwa nahisi story nzima ya ukorofi kati ya wananchi na huyu so called grumeti anaujua shamsa mwangunga waziri wa mali asili.
yaani its so funny mtu mke wa raisi anatembelea gari ya milioni kama 120 hivi ndo anawaaambia maskini kwamba ye atawasaidi ukiangalia jamaa hao wanaomsikiliza ni noma wamechoka kama hilo gari likiuzwa tu it will make some difference in that village kwa kujenge nyumba hata za waalimu wa msingi watatu
Post a Comment