Mimi ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kituo cha redio cha 87.8 Ebony fm cha Iringa lakini mimi niko Dar-Mini Studio, naitwa Renatus Kiluvia,ni mmoja wa wafuatiliaji wazuri wa blog yako,naomba msaada wako wa kunitangazia blog yangu mpya www.muzikinamaisha.blogspot.com blog yangu inahusu muziki na maisha katika nyanja tofauti-tofauti,pia itahusika kuzungumzia burudani zingine kama filamu n.k.
Akhsante!!!!!!!!!!!













Kuna Maoni 13 mpaka sasa.
wewe vipi yaani mwana blog na muhandishi wa habari hata luga haujui wewe ni mtoto wa fisadi nini mbona unajikanumba eti mama jiga is pregnant sio hivyo sema mama jiga she is pregnant,mda clauds
Na wewe sio mama jiga she is pregnant ni mama jiga is pregnant. Ebo!
mshikaji naona wewe ni shoga na huto tuheleni twako ndo kabisa tunadhihirisha hivyo!
yah hii kweli ni blog ya watoto wa shule maana naona kingereza cha mr Daud is farmer, heheh ayejidai anajua ndo anapoteza wenzake lol!ndo shule za mtakuja pr,school hizo ovyo, phweeeeeee!
hapo juu LAZIMA UWAZE NA SIFA YA MWANAMKE YAAN SHE OR HE,TWAWEZA KUSEMA MAMA HAPO NI JINA NA IS NOT SHE IS NA MAELENI YAKO UTAFIKILI TUNDU LA NYUMA LIKO WAZI
muombe mungu umefanywa mwanaume kisebesebe na hayo maeleni yako angalia ukija hapa mombasa au tanga tunakuvalisha sket na shanga boya kweli mwana natamani nikubusu
STOP KUNIKEBEI MIMI NI MWANAUME NA SI MWANAMKE WATANGA NA KOMENI NYIE WALA VUMBI NA WABEBA MABOX MIMI NIKO GADO NA HATA MKIONGEA KWANGU HAKUNA CHOCHOTE CHA KUCHUKUA ,NIMEJARIBU BAATI YANGU NA NIKO NALIA KAMA MTOTO KWA MATUSI YENU,NATUMAINI HAWA WANAOTOA HIZI COMENT NI WABEBA MABOX,
MTABEBA SANA MABOX NAHADI MIGONGO IPINDE KAMA MZEE PINDA,MIMI NAKURA BATA SANA TU NA MICHUZIJR TOA HIYO PICHA YANGU,PLS
HAHAHH MAMA JIGA IS PRIGNAT MWEEEE SASA MPE MWANAMKE SIFA YAKE KWA KUANZA NA SHE ILI WATU TUJUE KUWA NI MWANAMKE,
MWANAMKE....SHE
MWANAUME....HE
VIUMBE NA SIO BINADAM ITS
LOL +++++++OPS=KANUMBA
dogo anapaka poda nini au amepauka mambo ya bongo vumbi - ops
huyu jamaa watu wamemtolea uvivu du si mchezo bongo yani usipo kubalika na watu ni shida kweli,lakini ukikubalika na watu ni poa kweli kam michuzi na mdogo wake watu wamewakubali na wanakula bata na ndugu wote mungu awabaliki,semeni amen
sasa kama uko Dar-mini studio sisi tufanyeje,hebu tambaa huko usituzingue na vurugu zako hapa,kwanza mtoto wa kiume halafu mzuri ivo na hizo heleni au unapaka poda??!!
Ma Anony wote hebu mwacheni mwenzenu. Wabongo kazi kukandia tu na nina hakika hao wote wakandiaji hawana lolote kimaisha. Kijana anajaribu na apewe moyo. Usiwasiki
lize mwanangu, songa mbele!!
Post a Comment