Yale kwa wabongo, wakiamini wasipoweka bei basi watapata wateja na kuwapa bei baada ya kuwaangalia juu mpaka chini. Au wakitoa bei eti watajiweka wazi na kushindwa kuuza bidhaa.
Yaani sie wabongo tuko nyuma sana kwenye mambo ya biashara hasa marketing and sales.
WEKA BEI, WEKA MILAGE, WEKA MWAKA, WEKA PICHA ZA KUTOSHA, WEKA HISTORIA YA GARI IMEPITA MIKONO MINGAPI!!
Kuna Maoni 2 mpaka sasa.
Weka price kaka
Yale kwa wabongo, wakiamini wasipoweka bei basi watapata wateja na kuwapa bei baada ya kuwaangalia juu mpaka chini. Au wakitoa bei eti watajiweka wazi na kushindwa kuuza bidhaa.
Yaani sie wabongo tuko nyuma sana kwenye mambo ya biashara hasa marketing and sales.
WEKA BEI, WEKA MILAGE, WEKA MWAKA, WEKA PICHA ZA KUTOSHA, WEKA HISTORIA YA GARI IMEPITA MIKONO MINGAPI!!
BURE KABISA!
Post a Comment