CHAMA CHA MAPINDUZI
TAWI LA UINGEREZA
SHEREHE YA KUZALIWA KWA
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
MIAKA 33 YA CCM
Wanachama Wote - C C M
Wakereketwa Wote - C C M
Wapenzi Na Wana-Mapinduzi Wote
Tarehe: 06/03/2010 Saa: 10 jioni Hadi Saa 5 usiku
WAPI:
UKUMBI WA: THE WAREHOUSE
1 CUMBERLAND ROAD
READING
RG1 3LB
Mgeni Rasmi
Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara: Mhe Pius Msekwa
Watanzania ambao wangependa kujiandikisha, mnaombwa kuleta picha zenu za passport size mbili na paundi kumi na tano (paundi tatu kwa kadi, halafu paundi kumi na mbili kwa ada ya uanachama ya mwaka mzima).
Kwa ufafanuzi zaidi, tafadhali wasiliana na:
Moses Katega - 07727475313
Victor Mgoya - 07501083328
Maira Migire - 07799212095
Wote Mnakaribishwa - Kutakuwa na Vinywaji, Vitafunio, na Muziki Baada ya Shughuli Zote.

Kuna Maoni 3 mpaka sasa.
kikao kilichopitwa kuna mjumbe aliuliza inakuwaje viongozi na wanachama wa CCM wengi wao kuwa walishaukana uraia wako, na kudai ya kuwa wao ni wakimbizi!!! je TZ kuna vita? huwezi ukawa mwana ccm wakati wewe umesema kuwa ni msomali, au mmburundi, mrwanda je hz nnchi zinauhusiano wowote na CCM?. Tubadilikine jamani acheni tamaa za kutaka uongozi kwa nguvu na tuachieni sisi wazelendo tunaoipenda nnch yetu TANZANIA. wadau nisaidiene jibu tafadhali.

kweli watanzania wamejiripua wanasema wakimbizi kutoka burundi, somali na rwanda ukiwakuta job center wanajiita waburundi,somali, rwanda kwenye mambo ya ccm wanajiita watanzania chagueni moja basi .
Post a Comment