Mwanamuziki kutoka nchini Marekani/Jamaica Shaggy alipotua jijini dar na kufanya bonge la shoo ndani ya viwanja vya Lidaz Club,hii ilikuwa mnamo mwaka 2008,ambapo pia alifanya uhamasishaji mkubwa kwa wadau wa muziki hapa bongo namna ya kukisaidia kituo cha watoto wenye vipaji cha THT,ikiwemo na suala zima la kuwapatia vyombo,yote hiyo, Shaggy alikubali kufanya kwa moyo mmoja baada ya kuona juhudi kubwa zikifanyika za kukuza vipaji katika kituo hicho ambacho kwa sasa,ama kwa hakika kimekuwa mfano wa kuigwa.












Kuna Maoni 2 mpaka sasa.
Aha vipi ali shaggy pia?
Kumbe Shaggy na BabuKaju(Alex Kajumulo) wapo the same league.
Post a Comment