Mdau,
Kuna mashindano yafahamikayo kama DELL SOCIAL INNOVATION COMPETITION ambayo yanashindanisha social issues (ideas) ambapo mshindi atapata dola 50,000 kuweza kutimiza project yake ambayo ameelezea. Mimi ni mmoja kati ya washindani.
Hivyo naomba watu waweze kunipigia kura na kutoa maoni yao ambayo yatasaidia kuingia katika 10 bora na hatimaye kuinuka kidedea. Unachotakiwa kufanya ni fungua tovuti hii hapa chini, na kisha jisajiri ili uweze kutoa maoni yako na kupiga kura yako (Join the community to vote and comment on your favorite ideas! )
Unaweza kuona ideas za watu wengine pia hapa http://www.dellsocialinnovationcompetition.com/apex/ideaList?lsi=1
MAKULILO, Jr.
San Diego, CA












Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.
Nimejaribu kuingia kwenye website ya makulilo lakini sijaweza kuvote - atupe process. namfagilia sana kwa kushare information
Post a Comment