Pichani ni sehemu ndogo ya clip inayoonyesha mfumo mbovu wa maji taka ulioikumba sehemu kubwa ya Mikocheni,Mvua ikinyesha kidogo tu basi si balaa hilo la maji machafu/taka,kila uchochoro mimaji michafu inatiririka ile mbaya,unajiuliza mvua kidogo hivi haya maji yanatoka wapi,mbaya zaidi afadhali yangekuwa ya mvua asilimia mia,ebwanaee maji yananuka,harufu mbaya yakiwa yamechanganyikana na kinyesi,kuna sehemu nikakatiza nikakutana na watoto wanayachezea yale maji,kiukweli nilishikwa na hasira sana,kwa sababu yale maji yalikuwa yananuka vibaya sana,Nikawatimua.!
Je.! Kwa mazingira hay ni nani wa kulaumiwa.?












Kuna Maoni 2 mpaka sasa.
SERIKALI
Nafikiri hata wewe kama mwananchi UNALAUMIWA kwa sababu una haki ya kushiriki kikamilifu katika kuboresha mazingira haya!
Post a Comment