Friday, February 26, 2010

jiachie kijanja na bongo street wear,mzigo mpya umeingia

T-shirts & Tops
T-shirts
Toka chicha na mwenye furaha na Bongo Street Wear



Wakali wa Bongo Street Wear wamekuja na mzigompya kabisa, wanapatikana kwenye duka lao jipya linalopatikana Mwenge Opp na kituo cha Polisi.Unaweza kuwapata kwa mawasiliano yao hapa chini :
SHOPING INFORMATION
Dar es Salaam-0713 49 40 49/0784 752515.
Morogoro mjini:Super Tech 0718 015 532.
Mzumbe University:0715 335 555.
UDSM (Aru) 0715 658 198.
Arusha 0715 655 559

Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

asa we Dogo kutujazia maMODO wa KIUME hapo ndo nini!?!

Nani anawataka hao? Kwani tuko momb*s* hapa?

Tuwekee VITU vya uhakika bwana. We vipi Dogo wewe!?!