Sunday, February 28, 2010

hali ilivyokuwa tete huko london

Picha kwa hisani ya mdau mdau. eddy from birmingham london

Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

sasa mbona mnatuchanganya hapo ni london ama birmingham?

Jr!!! fanya ufafanuzi kdg kwenye heading(HALI...,HUKO LONDON), na maelezo hapo chini ya hizo picha( picha kwa hisani.... from Bngm London.
London na Birmingham ni miji miwili tofauti (eg Dar na Arusha).
ama ulimaanisha street inayoitwa Lnd huko Birmingham? inaleta utata kidg

Huyo aliyetuma maelezso yasiyoeleweka ni mjumbe wa shina tawi la CCM UK. Uingereza sasa ni nuksi tupu

samahani sana kwa kuwachanganya sasa nayaweka sawa maelezo haya ya picha za snow .ni makosa niliyoyafanya kimaandishi kwakweli birminghan na london ni miji miwili tofauti lakini kwenye picha hizo picha mbili nimezipiga london na nyingine birminghan polen sana kwa makosa hayo .