Sunday, January 31, 2010

mhanjo wangu wa mwisho kiwekend wikend ufukweni

Hapa wadau msilete nongwa tena kama zile za yule dada nanihiiiii oohooo.!
Mie nikiwa nimepozi kimtindo nikicheki yanayoendelea ufukweni,ama kweli pwani rahaa.


Baada ya kutoka hapo kwenye michezo basi nikamalizia sehemu ya kupigwa upepo,ambako mara nyingi waubani huambatana huko kuliwazana kwa namna moja ama nyingi,kama uonavyo baadhi ya picha.

Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

Huo ufukwe hapana shaka utakuwa ni ufukwe wa zanzibar you can tell

From Ibrahim

jamani huyo kaka ni tour guide tu anmpeleka mtalii beach kutemeba.

naona mmasai hapo kaopoa demu la nguvu!

DUh Jiachie utaharibu Ndoa za waaaaaaaaaaaaatuuuuuuuu hahahaaha. Fataki.