yote haya na mengineyo yanapatikana zizzou fashions & barbershop

Tuesday, July 7, 2009
Umecheki mmechisho wamtu mzima Bushoke ulivyotulia
aah steve nae kumbe shabiki wa nanihiiiii,ameng'aa lakini
Mr Blue anang'ara




Steve ametoka chicha ndani ya pozi la nne

Ngwair ametoka pina ile mbaya


mmechisho uliotulia

Kampuni ya ZIZZOU ENTERTAINMENT inayomilikiwa na mjasiliamali mahiri hapa bongo,Athuman Tippo ambaye pia ni mmiliki wa maduka ya mavazi na vipodozi ya Zizzou Fashions &Barbershop,amekuwa mstari wa mbele kuwang'arisha vijana wengi hapa mjini wakiwemo wasanii mbalimbali kupitia mambo ya mavazi.
Msanii yoyote akitaka mambo ya mmechisho ama kutoka chicha jukwaani hata mbele ya watu,hana haja ya kusita wala kujiona amekosa mahala pa kupata viwalo vya kumfanya aonekane nadhifu na jasili, Tinga ndani ya maduka ya ZIZZOU FASHIONS yaliyopo Sinza Afrika Sana na Victoria-Mwenge Kijitonyama,ukitoka tu utajiona mpya kila mahali.
Kwa mawasiliano zaidi cheki contact zake juu ama gonga no +255 0774 770077
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Tuesday, July 07, 2009 | | Permalink |

Maoni: 2

  Tarehe July 10, 2009 4:21 PM Anonymous Anonymous Anasema:
wanatoka na pamba kali lakini waangalie maisha. manager huwalipi vijana wako vizuri maisha yao yapo mabovu sana,utulivu ziro,ngwea kipaji unacho tulia
  Tarehe July 12, 2009 4:46 PM Anonymous Anonymous Anasema:
ngwea alikuwa anahaha kuingia chumbani kwa demu Jumapili baada ya kutolewa kishada guest ya PR sinza karibia na Meeda, mshikaji unachemsha sana


Idadi ya watu