SLOW COMPUTER?, INFECTED WITH SPYWARE OR VIRUSES?, DESKTOPS AND LAPTOPS REPAIRS, CONTACT:
CLICK HAPA KWA KUSIKILIZA BONGO FLAVA, BONGO DANCE, TAARAB, NYIMBO ZA INJILI, ZILIPENDWA:
BLOG HII IMETENGENEZWA NA:
MWISHO
Ulishaona Gari yenye matege wewe ??!
Monday, July 6, 2009
Mdau,Bro Willy wa Wil'na Interanational kanitumia picha za gari hii ambayo kiukweli lingekuwe kwenye barabara zetu za kibogo lisingefua dafu au mnasemaje wadau.
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Monday, July 06, 2009 | | Permalink |
Hiyo inaitwa " Low rider". Ni mambo ya "hydrolics"...Inaweza kupanda na kushuka kwa kubonyeza swichi tu..Bongo inaendesheka kwa kuswichi iwe juu juu!Ikiwa barabara fresh unaswichi chini chini..