mwanaume kazi eeh!
Monday, July 6, 2009
Maoni: 4
« Rudi Mwanzo | Post a Comment
Sasa hii imekaje, njemba kama hilo, kwenda nae kupanda juu ya mzigo wake, na anamuona mwenzake kabeba mzigo mkubwa na yeye juu, kweli anamfikiria huyo binadamu mwenzake,
hiyo ilikuwa interview ya jamaa kuomba kazi ya kubeba vitu vizito...
EEEHHH KIDUME KAZI SIO KUCHONGA KAMA JAMAA WA KWANZA HAPO JUU
dogo tupe data za huyu jamaa ati huyu ni mwivi ama???



