kiwanja cha kujiachia kimtindozzz!

Saturday, July 18, 2009

One and Only kwa dar sijui kama kuna sehemu nyingine ya namna hii jijini Dar,kama ipo tufahamishane Wanajamvini ili twende sawa au sio,hii ni sehemu mojawapo ya ukarabati mkubwa unaoendelea hivi sasa pale kwenye hoteli ya kitalii ya Giraffe Ocean View.
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, July 18, 2009 | | Permalink |

Maoni: 4

  Tarehe July 19, 2009 3:51 PM Anonymous PM Anasema:
Copyright na Zanzibar safri club kule Zenji, nilikuwa pale kwa ajili ya hanimuni yangu, pako fresh, usiku mnawekewa candle light dinner hapo katikati! inapendeza sana!
  Tarehe July 19, 2009 9:32 PM Anonymous Anonymous Anasema:
Inapendeza zaidi when hurricane ikitokea na kuwasombelea mbali.Jamani majanga mengine ni ya kujitakia hivyo vijiti kweli kuna usalama?
  Tarehe July 20, 2009 10:36 AM Anonymous Anonymous Anasema:
Zamani Kempiski, Kiwengwa Zanzibar pia wanayo tene toka kitambo, wanaita jet club ni nzuri sana.
  Tarehe July 20, 2009 5:25 PM Anonymous Anonymous Anasema:
Uchafuzi wa mazingira ya Bahari


Idadi ya watu