Haleluya Collection Volume 5 iko sokoni sasa
Monday, July 6, 2009

Ile albamu ya muziki wa Injili Haleluya Collection Volume 5 imetoka leo na tayari imekwisha sambazwa madukani ikiwa imesheni nyimbo kibao za wanamuziki wa nyimbo hizo za kiroho.
Albamu hiyo ambayo imeandaliwa na kusambazwa na MSAMA PROMOTION,Kwa mahitaji ama manunuzi ya albamu hiyo bofya no +255 22 2669066 au +255 0713 383838 Email:msamapromo@yahoo.com Fax +255 22 2669066
Maoni: 0
« Rudi Mwanzo | Post a Comment

