e.tarimo na libeneke lake jipya

Monday, July 6, 2009

Baadhi ya watu watakuwa wamemsoma Mhandisi na Mwelimishaji ndugu Sabato E. Tarimo katika gazeti la MsemaKweli kwenye makala zake mbalimbali. Sasa amejikita katika ulimwengu wa blogu ili kuwafikia wengi zaidi hasa wale wanaoishi nje ya Tanzania.
Jina la Blogu ni tanzaniachristianheritage.blogspot.com Makala alizoandika hadi sasa na zinazotia changamoto ni zile zinazohusu
URITHI na MAVAZI kama vile:URITHI: Mahakama ya kufungulia mirathi
URITHI: Urithi kwa watu wasio na undugu na marehemu...
URITHI: Kumnyima mtu haki ya urithi
URITHI: Umuhimu wa wosia
URITHI: Je, urithi ni haki au ni fadhila?
URITHI: Biblia inasema nini kuhusu watoto wa kambo..
.URITHI: Sheria za mirathi
URITHI: Kwanini mzaliwa wa kwanza alipendelewa?
URITHI: Ni wakati gani wa kurithisha au kurithi?
URITHI: Nani anastahili kurithi?
URITHI: Kiini cha makalaNi vitu gani sisi wanadamu tunavyoweza kurithishan...
URITHI: HAKI NA WAJIBU WAKO pamoja na MKRISTO NA MAVAZI: Mavazi yasiyofaa ni yapi?
MKRISTO NA MAVAZI: Mavazi yatamanishayo ni tishio ...
MKRISTO NA MAVAZI: Dhambi ya Bath-sheba
MKRISTO NA MAVAZI: Makanisa ya kimadhehebu yamepot...
MKRISTO NA MAVAZI: Eti Mungu anaangalia moyo tu?
MKRISTO NA MAVAZI: Mavazi yasiyofaaTafadhali unaombwa kukosoa na kuchangia maoni yako.
Wasalaam Subi, nukta77!
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Monday, July 06, 2009 | | Permalink |

Maoni: 0



Idadi ya watu