EAST AFRICAN SUMMER COCKTAIL & CHAMPAIGNE PARTY AT ONE OF EXECLUSIVE VENUE IN EAST LONDON

Monday, July 6, 2009



 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Monday, July 06, 2009 | | Permalink |

Maoni: 2

  Tarehe July 7, 2009 9:49 AM Anonymous Anonymous Anasema:
Mbona hili tangazo halina post code ya sehem yenyewe?au macho yangu mabovu?maana wengine ni wageni London,tunakuja kwakuongozwa na Tomtom,sasa tutafikaje?au hii ni kwa wanaoishi London tu?pia muwe na uhakika wa shuguli yenyewe,msije mkatufanyia mambo kama ya Miss Tanzania Uk,maana sasa tumeanza kuwaogopeni wabongo na shuguli zenu,longolongo nyingi.
  Tarehe July 10, 2009 3:42 AM Anonymous Anonymous Anasema:
Nakuelewa kabisa, manake naona unachosema ni kweli. Nakuhakikishia hii si longolongo wewe jiandae vyema na tom tom yako, hii tafrija si kwa wabongo walioko London tu , wabongo walioko nje ya London pia wanakaribishwa. Address ya hii venu ni kama ifatavyo:
SEEBO's RESTAURANT & BAR,
761 - 763 HIGH STREET
LEYTONSTONE, LONDON
E11 4QS.

ON SATURDAY 01 AUGUST 2009
FROM 7:00 P.M - 09:00 P.M
THEREAFTER MUSIC TILL LATE

LOCATED NEAR ICELAND & LLOYDS BANK
OPPOSITE BETWEEN LINCORNS PUB AND ZULLU BAR.


Idadi ya watu