adamu wa visual lab aula M-Net

Saturday, July 4, 2009

Adam Juma, mzee wa Visual Lab amekula shavu kwenye tamthilia mpya ya CHANGES inayooneshwa na kituo cha televisheni cha M-NET. Visual Lab -Next Level- imejipatia umaarufu mkubwa katika siku za hivi karibuni kwa utengenezaji wa video za muziki wa kizazi kipya. Zinapooneshwa video 10 kwenye TV, 8 zimetengenezwa na Visual Lab. Je, kuingia kwenye TV hakutoathiri kazi yake ya utengenezaji video? Ndo swali wanaweza kujiuliza wasanii wa muziki kwa sasa!!! Habari kwa hisani ya abdallah mrisho
 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, July 04, 2009 | | Permalink |

Maoni: 0



Idadi ya watu