Watangazaji mahiri wa Clouds FM 88.4 kupitia kipindi chao cha Leo Tena kinachorushwa hewani kuanzia saa 3 kamili mpaka 7 kamili,kulia ni Dina Marios pamoja na shostito wake Gea Habib ambaye huwapa wasikilizaji wao kwa ladha nyingine ya Heka heka.
Dina Marios ameanzisha blog yake iitwayo dinamarios.blogspot.com,ambayo iko hewani na inahusisha mambo mbalimbali yahusuyo jamii inayotuzunguka,sio vibaya ukimtembelea na kumpa mawili matatu,Wanablog twasema karibu sana jamvini tuliendeleze libeneke hili adhimu mpaka kieleweke.



Kuna Maoni 4 mpaka sasa.
They both need to watch their health, need to lose some weight!!!
wadada wa kibongo mnajau kwanini waume wenu wanatoka nje? jibu ni moja hamjui kujitunza hamfanyi mazoezi angalieni huo unene hamna mwanaume anaependa maunene kama hayo
dina umenenepa saaaaana na kwa muda mfupi gea muda mwingi namuona na mwili huo huo,punguzeni kula kula na mfanye mazoezi.
Bongo noma!
Bongo joto
I`m just say.
Post a Comment