Friday, May 15, 2009

ukitaka mapambo, ufumbuzi upo kwa Lotus Creative Concepts

Kaka Michuzi,
Mimi ni mdau wa globu yako ya jamii lakini nimesikitishwa na posting yako ya tarehe 03/05/2009 iliyokuwa na kichwa cha habari JIPE RAHA NA DORKA CATERING ambayo inamuonyesha mpambaji wa ile sherehe ambazo picha zake ulizipost kwenye blog yako kuwa ni Dorka Catering
( naona yalikuwa makosa ya kibinadamu) kwa sababu Dorka alifanya Catering ya ile sherehe na mapambo ya siku ile na zile picha ulizoonyesha yalifanywa na kampuni yetu Lotus Creative Concepts. na Contact zetu ni 0754817261 / 0717578098. Napenda iwapo ungeweza kuweka hizo picha ili mambo yawekwe straight, natumai lilikuwa ni kosa la kawaida na ningependa tu posting mpya inayoweza ikasema mpambaji ilikuwa ni kampuni yetu ili habari iwe ya ukweli kwa wadau.
Ahsante
Farzana Nathoo
Mkurugenzi Lotus Creative Concept

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

 
Nafasi Ya Matangazo