728x90 AdSpace






 • Habari za hivi Punde

  Thursday, October 23, 2008

  dj fatty,binti mkali kwa wakali !


  Huyu ndiye dj nyota wa kike anaesumbua jijini bongo, anaitwa dj Fatty a.k.a kwafe-E kutoka redio ya clouds 88.4 fm,ni binti ambaye amepania kuwafunika hata madj wakali wa kiume waliopo ndani ya redio hiyo.

  Nae ni nyuki anaetoka ndani ya kundi la Nyuki Djz.! Dj Fatty amekuwa na anaendelea kutoa mchango mkubwa katika ya muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva.

  Pamoja na kazi ya U-Dj na utangazaji anayoifanya pia ni bonge la Mc na yuko fiti ile mbaya,kama vile haitoshi na la kufurahisha kabisa kwa wadau wa blog na yeye pia ameamua kuanzisha blog yake itakayohusu zaidi mambo ya muziki.Jaribu kumtembelea kwa kubofya www:djfatty.blogspot.com

  Pichani kulia Dj Fatty akiwa kwenye libeneke la makamuzi yake ya kila siku
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  1 comments:

  1. Fatty we mkaleeeee ila why mbeya hamsomke almost 4mouth mbeya 2nawaitaj kama yule babu wa loliyondoFatty we mkaleeeee ila why mbeya hamsomke almost 4mouth mbeya 2nawaitaj kama yule babu wa loliyondo

   ReplyDelete

  Item Reviewed: dj fatty,binti mkali kwa wakali ! Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top