shaggy aiteka lidaz

Saturday, August 9, 2008
Waama ,Shaggy aliwakuna wengi,hasa akina dadaz walionekana kutekwa ile mbaya
Ebwanae eeh shughuli ilikuwa pevu kweli kwa washabiki,kwai kila mara walijikuta wakiinua mikono hewani na kupiga mayowe
Shaggy akiwapandisha mzuka wapiga vyombo wake
Shaggy akiwa jukwaani akiimba wimbo wa hayati Bob Marley ikiwa kama ni njia mojawapo ya kumkumbuka muasisi huyo wa reggae
Pichani ni umati mkubwa wa watu waliofika kumshuhudia Shaggy kwa mara nyingine tena akifanya makamuzi ya kufa mtu ndani ya viwanja vya Lidaz



Wadau usiku wa jana mkali wa miondoko ya ragga kutoka nchin jamaica,Shaggy akiwa na swadi lake zima alifanya makamuzi ya kufa mtu ndani ya viwanja vya Lidaz,ambapo watu walijiachia ile mbaya.Pichani ni namna jukwaa lilivyokuwa hiyo jana usiku.


 
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Saturday, August 09, 2008 | | Permalink |

Maoni: 2

  Tarehe August 9, 2008 10:29 PM Anonymous Yusuph Anasema:
Daaah thanks Michuzi kwa snepu za Fiesta,yani katika vitu nilivyomiss Fiesta,tuwekee snepu zaidi basi.Naona stage ya mwaka huu ilivutia sana kupita zote zilizowahi kutengenezwa,ila mtakuwa mmemiss kitu kimoja unajua nini!?Perfomance ya TID basi.Idumu Fiesta,Idumu Clouds Fm
  Tarehe August 12, 2008 2:54 AM Anonymous Anonymous Anasema:
mie bwana ningependa dunia sasa tuiite yote united states of amerika manake hiyo bongo inavyoita wanamziki kutoka marekani sidhani kama utamaduni wa mwafrika na maisha yake utanusurika,ukimwangalia huyo mwana FA yani kavaa kimarekani sasa hata mtu akija bongo atajiuliza utamaduni wa hawa watu wa TZ ni upi?mbona wote wamekata K makofia nyuma kama wazushi wa hapa LA mie sielewi africa baada ya miaka50 ijayo kama utamaduni wetu utasalimika jamani manake mmmh acheni tuuuuuu


Idadi ya watu