Monday, July 28, 2008

michuzi mix


Leo mchana nimekatiza mitaa ya Kariakoo na kukumbana na duka hili la Michuzi Mix,nikasema da michuzi sasa anatisha,libeneke mpaka huku

Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

We DOGO acha kulala!
Chacha Wangwe amefariki dunia usiku huu!

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
Michuzi C mchezo. Ameanza kuwekeza halafu watu waje waseme ni fisadi wakati wenyewe mwaona anavyokwenda kidogo kidogo!!! Hongera Michuzi a.k.a mithupu

We dogo kaka ako saa iz hafunguki kwa nini??? Au ndo mtandao umezidiwa na hao wanaosoma breaking newzzz za msiba wa Wagwe nini. Mungu amweke mahali pema peponi kama ni kweli. AMEN. Tuwekee wewe basi kama kule kumebana.

 
Nafasi Ya Matangazo