728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, April 23, 2008

  tatiana aweka wazi yuko singo


  Tatiana akifikiria kujibu swali aliloulizwa na msikilizaji wa redio ya clouds fm muda mchache uliopita.

  Tatiana akitabasamu baada ya kupigwa swali na mtangazaji wa Clouds fm,Reuben a.k.a Mzeiya kuwa je ameolewa na bibie huyo akajibu kavu kavu kuwa bado hajaolewa na yuko singo

  Tatiana akisikiliza swali kwa makini kutoka kwa msikilizaji,ambaye amekiri wazi kuwa yuko singo mpaka sasa, kwa hiyo wenye kujaribu bahati yao basi milango kwake iko wazi

  Mshindi wa Big Brother Afrika II wa mwaka jana Tatiana Durao akiwa ndani ya studio za Clouds Fm 88.4 sasa hivi kupitia kipindi cha Jahazi kinachoongozwa na Kapt G Habash,ambapo leo alikuwepo mtangazaji mwingine Anord Kayanda kwa niaba,Tatiana ameambatana na walimbwende wengine akiwemo Irene Kiwia na Nancy Sumary
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  14 comments:

  1. mbona hilo begi kalikumbatia namna hiyo au hawaaminai wabono?

   ReplyDelete
  2. Hapo umewapa mwanya mafisadi wa Bongo mahali pa kumwaga hela zetu za EPA, RICHMOND, MEREMETA, VIJISENTI na nyinginezo ambazo tutazijua baadae. Wabongo kwa kupenda umaarufu tu! Nyie subirini mtaniambia!

   ReplyDelete
  3. MIMI HICHO TU NDIO WANACHONIUDHI WABONGO, MBONA HUYU DEM NI WA KAWAIDA TUUUUU!!! WATU WANAMPANDISHA CHATI UTADHANI MALAIKA!!! HATA KAMA YUKO SINGLE .. AND THEN WHAT?????? IDIOTS

   ReplyDelete
  4. Huyu Dem ni mzee, mbona sura yake ngumu hivi!!!! kikongwe

   ReplyDelete
  5. in maana G habash ung'eng'e haupandi, mbona walimbadilisha? hehe he he , shule ni muhimu sana. utaruka ruka na form 4, mwishoni unagonga ukuta...ndiii.

   ReplyDelete
  6. huyo ni mzee au kijana ?mbona sura !!au karamba ndimu?

   ReplyDelete
  7. naomba contact zake pls nijaribu bahati yangu au mpe ya kwangu martjons@gmail.com

   ReplyDelete
  8. wabongo wasiojua ung'eng'e utawajua tu hako ka sista-do ka katikati picha ya chini cheki kanavyojitahidi kujielezea na mikono yai halipandi hapo kwa nini hamuendi shule??

   ReplyDelete
  9. Dogo unajifanya nunda sio!!!! Najua ujumbe wangu umeupata hata kama umebana maoni yangu.Narudia tena Tatiana ni mshindi wa pili BB II mwaka janaaaaaaaaa....... Badilisha kauli yako!Bna na hii, lakini ujumbe umfika na usipotoa hii nitakuja kukumwagia tindikali!!!!a.k.a kukubenea.

   ReplyDelete
  10. We anonymous hapo juu unauliza jibu? Huoni begi limefunika nanihiino? Anaogopa kuachama. Asije wamulika maana nanyi hamna dogo kama mkiona. Mtaanza kumtolea comments bure. mambo ya vimini babu weeeeee

   ReplyDelete
  11. kamayupo single mpe email atoe email nataka kucontact nae mdau

   ReplyDelete
  12. Gadna yai halipandi simtu wa tanga yule maneno mengi lakini swala likija hapo mhh..wapi mr chris na bobby

   ReplyDelete
  13. Nancy Sumari hiyo style ya nywele sio kama kivile bwana hiyo haikupendizi kabisaa msemakweli ni mpenzi wa Mungu pleaseeeeeeee bora urudie na nywele za bandia utakuwa kivileeeeeeeeeeeeeeee coz kichwa hicho mmh kinatakiwa kuwa na nywele nyingi na si fupi.

   michuzi halafu unibanie na hii.

   ReplyDelete
  14. You got style my girl you RICH IN HUMANITY, SINCERITY, KINDNESS AND YOU HAVE A HUGE HEART.......

   YOU ARE OUR ****WINNER********

   BIG UP TANZANIA FOR TREATING OUR TATIANA SO WELL......

   ReplyDelete

  Item Reviewed: tatiana aweka wazi yuko singo Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top