728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, April 22, 2008

  tatiana atua bongo


  Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa 2007 Tatiana Durao
  akisalimiana na mmoja wa wenyeji wake waliokwenda kumpokea leo mchana uwanja wa ndege
  wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa maonyesho mawili ya mavazi
  yaliyopangwa kufanyika Arusha ijumaa na Dar es salaam Jumamosi.

  Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa 2007 Tatiana Durao
  akijichangaya katika mdundiko wa Kikundi cha Kiwahede leo mchana uwanja wa ndege
  wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa maonyesho mawili ya mavazi
  yaliyopangwa kufanyika Arusha ijumaa na Dar es salaam Jumamosi.

  Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa 2007 Tatiana Durao alipowasili
  leo mchana katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa maonyesho
  mawili ya mavazi yaliyopangwa kufanyika Arusha siku ya ijumaa na jijini Dar es salaam
  Jumamosi. Kulia ni Meneja wa kinywaji safi kabisa cha Redds, George Kavishe.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  6 comments:

  1. hebu nielewesheni hao watu na huo mdundiko ulikuja kumpokea huyo dada. Nisije nikaaza kuropoka bure.

   ReplyDelete
  2. huyu msichan ni mzuri tena bomba ukilinganisha na yule mkewe anaweza hata kumpa kikapu na kumtuma sokoni she has got something

   ReplyDelete
  3. sasa hili la nini?

   ReplyDelete
  4. yule kijana halaumiki hata kule ulaya hawapendezwi na matumtum this girl she has got beutifull body 2 die 4

   ReplyDelete
  5. Meneja wa redds naona anasikilizia shoulder rubbing!

   ReplyDelete
  6. Hebu na mimi niambiwe. Hiyo ngoma ilikwenda kumpoke ahuyo au?

   ReplyDelete

  Item Reviewed: tatiana atua bongo Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top