728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, February 9, 2008

  waziri mkuu aapishwa leo


  Rais Jakaya Kikwete akiwa amesimama na Waziri Mkuu mpya Mh Mizengo Pinda mara baada ya kumwapisha leo Ikulu ndogo ya Chamwino mjini Dodoma.Jumatatu litatangazwa baraza la mwaziri na kuapishwa upya jumatano hapo hapo Chamwino.

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Waziri mkuu Mpya Mh Mizengo Kayanza Peter Pinda leo mchana Ikulu ndogo ya Chamwino mjini Dodoma
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  1 comments:

  1. Katika maapisho yote, ni hapa tu Kikwete anaonekana kuwa na furaha.

   ReplyDelete

  Item Reviewed: waziri mkuu aapishwa leo Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top