Friday, February 1, 2008

mzee wa njia panda


Dr Sebastian Ndege lakini wengi humuita Mzee wa njia panda,yeye binafsi akiwa kwenye kipindi chake pia hupenda kujitambulisha kwa jina la Baba Casmir.D Sebastian Ndege pichani ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Njia Panda kinachorushwa na redio ya Clouds 88.4 fm kila siku ya jumapili, akiwa na tuzo yake aliyowahi kujinyakulia baada ya kipindi chake cha Njia Panda kuonekana bora na chenye kuisaidia/kutoa mchango mkubwa kwa jamii. Tuzo hiyo ilitolewa na kampuni ya George Inc katika mchakato mzima wa kuvitapata vipindi bora vya redio ambapo jina la tuzo hizo ziliitwa 2005 TANZANIA RADIO AWARDS zilizofanyika mnamo mwaka 2005,ambapo toka kufanyika kwa tuzo hizo,hazijatolewa tena mpaka sasa,

Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

tunakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya ya kuelimisha na kuisaidia jamii... Mungu akubariki na akuzidishie maisha marefu.... Napenda sana kipindi chako...

Lakini unapomuita Dr wakati alidisco muhimbili na hakuhitimu unakosea Michuzi, unadhalilisha fani nyeti hiyo!

 
Nafasi Ya Matangazo