Wednesday, January 9, 2008

mchomvu inc


Moja ya watangazaji wa clouds 88.4 Fm wenye machejo lukuki, Adam Mchovu a.k.a Mchovu inc wape mashavu wana akiwa amejiachia na warembo hivi karibuni mitaa ya kati

Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

Duh,huyu jamaa naye tushamchoka.Mbona kuna watangazaji wazuri zaidi yake lakini hawaendekezi kusaka ujiko mtandaoni.Kuna mtu anaitwa ML Chris ambaye anaichezea lugha (english) anavyotaka,kuna mastaa wengine wa muda mrefu kama akina Nyaisanga,etc lakini huwezi kuwaona wanauza sura mtandaoni.
Ushauri wa busara kwako Adam,chema chajiuza kibaya chajitembeza.

Huyo mtoto wa kulia mkali sanaaaa kama pilipili.

 
Nafasi Ya Matangazo