728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, January 26, 2008

  dawasco mimi nakuonesha tu


  Huyu jamaa amefika mpaka huku akiendelea kuchimba,lakini Wananchi nao wa eneo hilo na wenyewe wako kimyaa,kana kwamba haliwahusu vile.Jamani tushirikiane kupambana na vitendo viovu kama hivi na vinginevyo ili kuzisaidia mamlaka husika katika hili

  Dawasco mimi nakuonesha tu baadhi ya sehemu ambazo vitendo hivi vimekithiri, lakini inawezekana kuna sehemu kadhaa zinazolalamika kuhusiana na suala hili la mabomba kukatwa katwa hovyo kinyume na sheria
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  2 comments:

  1. We vipi sisi tunajaribu kuziba mabomba yanayo vuja wewe dawasadwasa umwshawaikusikia wanaziba mabomba?

   ReplyDelete
  2. KAZİ NJEMa kwa kuziba hayo mabomba lkn kuweni makini hayo maji yasije yakachanganyika na takataka kipindupindu hakitotuachia

   ReplyDelete

  Item Reviewed: dawasco mimi nakuonesha tu Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top